top of page
Search

ZIARA YA VIONGOZI WA ESS CREATIVE AND LEGAL FOUNDATION
Viongozi wa juu wa ESS wakiwa wamemtembelea Mkuu wa Wiliya ya Ilala, Mkoni Dar es Salaam Mh. Sophia Mjema (Kushoto) na katikati akiwa ni Mkurugenzi Mtendaji Ndugu. Erick Mukiza wa ESS akiambatana na Mkurungezi Msaidizi Ndugu. Geofrey Bomboko na wafanyakazi wengine. Ziara hiyo ililenga kudumisha na ushikirikiano wa Taasisi hiyo pamoja na Serikali katika kutoa huduma ya Sheria kwa wananchi1 view0 comments

Comentarios


bottom of page